1
.
Pakia karatasi.
2
.
Gusa Mipangilio kwenye skrini ya mwanzo.
3
.
Chagua Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao > Ukaguzi wa Muunganisho.
Ukaguzi wa muunganisho huanza.
4
.
Gusa Chapisha Ripoti ya Ukaguzi ili uchapishe ripoti ya muunganisho wa mtandao.